Nikikumbuka hii kauli huwa naumia sana

Nikikumbuka hii kauli huwa naumia sana

Sijawai kukamatika kwenye hili, nakumbuka mwaka 2016 marafiki zangu watatu wakisukuma walishawishika wakaingia na wenza wao wakawakusanya na baadhi ya ndugu zao wakiamini kwamba wanauaga umaskini jumla. Mmoja wao alishawai kunishawishi sana akaniambia bwana fulani mimi after two weeks nanunua gari nawewe kama rafiki yangu ningependa ufanikiwe kama mimi naomba tuwe pamoja jiunge, nilikataa na hadi sasa yule Bwana kawa kama tapeli gari ad leo hajafanikiwa na maisha yanazidi kuwa magumu kwake ila kuna kitu kinanishangaza mbona wengi wao hawaachi?
Pole kwao
 
Nikikumbuka hii kauli mwili wangu wote unakufa ganzi kwa dakika

Ukiweka Laki Tatu, Baada Ya Week Unaleta Wenzako Wawili Na Wenyewe Wataleta Wawili, Then Baada Ya Mwezi Utaanza Kuingiza Milioni Tatu Kila Week Pia Utaweza Kwenda Spain Kwenye Semina Zetu - GLOBAL ALLIANCE

Laki 3 zangu zikawa zimeenda bureee, mshamba mimi nikawa nimeibiwa

Sijajua wenzangu mliowahi kukutana na kauli kama hii mliichukuliaje.

unatapeliwaje kishamba hivo mkuu, mimi sijawahi kutapeliwa na stranger maisha yangu yote, walionitapeli ni watu niliowaamini , watu wa karibu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikikumbuka hii kauli mwili wangu wote unakufa ganzi kwa dakika

Ukiweka Laki Tatu, Baada Ya Week Unaleta Wenzako Wawili Na Wenyewe Wataleta Wawili, Then Baada Ya Mwezi Utaanza Kuingiza Milioni Tatu Kila Week Pia Utaweza Kwenda Spain Kwenye Semina Zetu - GLOBAL ALLIANCE

Laki 3 zangu zikawa zimeenda bureee, mshamba mimi nikawa nimeibiwa

Sijajua wenzangu mliowahi kukutana na kauli kama hii mliichukuliaje.
Nyingine hii

Nilianza na mtaji wa elf 7.... Saivi nina nyumba 2 south African...na biashara zangu uchini..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom