Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
- Thread starter
- #21
Pole kwaoSijawai kukamatika kwenye hili, nakumbuka mwaka 2016 marafiki zangu watatu wakisukuma walishawishika wakaingia na wenza wao wakawakusanya na baadhi ya ndugu zao wakiamini kwamba wanauaga umaskini jumla. Mmoja wao alishawai kunishawishi sana akaniambia bwana fulani mimi after two weeks nanunua gari nawewe kama rafiki yangu ningependa ufanikiwe kama mimi naomba tuwe pamoja jiunge, nilikataa na hadi sasa yule Bwana kawa kama tapeli gari ad leo hajafanikiwa na maisha yanazidi kuwa magumu kwake ila kuna kitu kinanishangaza mbona wengi wao hawaachi?