Nikikutana mh jk nitasema haya.

Nikikutana mh jk nitasema haya.

Hii loan Board ni kilio cha siku nyingi na inajulikana.

Ninapochoshwa zaidi na hawa wanaojiita loan board ni kwamba imetengenezwa kwa watoto wa matajiri kuweza ila wale walengwa masikin na mayatima hawapewi


Na inauma zaid kuwa hata bungeni hawakomalii issues kama hiz kwa dhati,wanaharakati wako busy na wanasiasa kulumbana!!!!
 
Akili za bavicha ndivyo zinavyowatumeni siyo kosa lenu slaa kawaharibu poleni.

halafu wewe simiyu sikupendi wewe ingekua tunaonana ningekunyonga kilaza mkubwa wewe , kikwete na maccm wenzako wamekupa kanga nini ndo maana unawatetea tetea bila mantiki ... ------- xana we
 
Kwa kweli ulemavu wa kiungo huwezi kuwa kigezo pekee maremu Biku mbunge wa zamani wa Solwa alikuwa na mkono mmoja lakini alikuwa tajiri kupindukia, kumbe mtoto wake aweza pewa mkopo? na kuachwa watoto wa masikini kisa wana wazazi.
 
Simiyu wewe ni mbwa pori tu huna utashi wa kung'amua wapi uzungumze na wapi ukae kimya!!
KENGE WEWE
 
tanzania bana hata mi mwenyewe huwa siielewi lakini mimi nikikutata naye ntamshauri abadilishe ziara zote za nje ya nchi ziwe za kutembelea vijijini na kuona shida za maskini waishio huko.
 
tanzania bana hata mi mwenyewe huwa siielewi lakini mimi nikikutata naye ntamshauri abadilishe ziara zote za nje ya nchi ziwe za kutembelea vijijini na kuona shida za maskini waishio huko.

vp kuhusu elimu ya juu hasa hasa bord ya mkopo? Ungemshauri nini? Naomba wasaidizi wake wamfikishie ushauri na malalamiko yanayotolewa humu ndani.
 
Usipoteze muda wako...labda umwambie kichina...na mfasili amdanganye kuwa unataka *kuwaibia wa Tz.

Hapo atakusikiliza na kukukenualia hadi uone koromeo lake refu.

*kuwekeza
 
kwanini kila atakayetoa mawazo mbadala mnambatiza kuwa ni chadema? Kwanini iwe chadema na siyo cuf au dp, nccr mageuzi? Au chadema ndiyo chama pinzani peke yake? Au ndo ule usemi ukirusha jiwe ukisikia mlio paa ujue limempata mhusika? Au mti wenye matunda ndio upigwao mawe? Maana nimefuatilia hoja za humu kila aikosoae serikali basi ni cdm. Naombeni ufafanuzi kwanini iwe chadema na isiwe cuf,nccr,tlp,updp,tpp,dp,ccj n.k

nimeipenda hiyooooooooooooooo,,,waambie,,,sehemu yeyote Tanzania ukikosoa tu serikali,,basi wanakuambia chadema huyo,,ukipinga mabaya,,chadema huyu,,hivyi wakosoaji wote ni chadema?
 
Akili za bavicha ndivyo zinavyowatumeni siyo kosa lenu slaa kawaharibu poleni.
Tatizo la vijana wa Lumumba ni kudhani kuwa kila aloagainst CCM ni mwanaCHADEMA. Kwa taarifa yako meme si mwanachama wa chama chochote cha siasa bongo. Ni muumini mzuri tu wa 'Tanganyika" na sitaki kabisa kujifunga na uanachama. I'm only a free thinker!!!!!!

Take it or leave it!!!!
 
Back
Top Bottom