OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Hii loan Board ni kilio cha siku nyingi na inajulikana.
Ninapochoshwa zaidi na hawa wanaojiita loan board ni kwamba imetengenezwa kwa watoto wa matajiri kuweza ila wale walengwa masikin na mayatima hawapewi
Na inauma zaid kuwa hata bungeni hawakomalii issues kama hiz kwa dhati,wanaharakati wako busy na wanasiasa kulumbana!!!!
Akili za bavicha ndivyo zinavyowatumeni siyo kosa lenu slaa kawaharibu poleni.
tanzania bana hata mi mwenyewe huwa siielewi lakini mimi nikikutata naye ntamshauri abadilishe ziara zote za nje ya nchi ziwe za kutembelea vijijini na kuona shida za maskini waishio huko.
Akili za bavicha ndivyo zinavyowatumeni siyo kosa lenu slaa kawaharibu poleni.
kwanini kila atakayetoa mawazo mbadala mnambatiza kuwa ni chadema? Kwanini iwe chadema na siyo cuf au dp, nccr mageuzi? Au chadema ndiyo chama pinzani peke yake? Au ndo ule usemi ukirusha jiwe ukisikia mlio paa ujue limempata mhusika? Au mti wenye matunda ndio upigwao mawe? Maana nimefuatilia hoja za humu kila aikosoae serikali basi ni cdm. Naombeni ufafanuzi kwanini iwe chadema na isiwe cuf,nccr,tlp,updp,tpp,dp,ccj n.k
Tatizo la vijana wa Lumumba ni kudhani kuwa kila aloagainst CCM ni mwanaCHADEMA. Kwa taarifa yako meme si mwanachama wa chama chochote cha siasa bongo. Ni muumini mzuri tu wa 'Tanganyika" na sitaki kabisa kujifunga na uanachama. I'm only a free thinker!!!!!!Akili za bavicha ndivyo zinavyowatumeni siyo kosa lenu slaa kawaharibu poleni.