Nikikutana mh jk nitasema haya.

Nikikutana mh jk nitasema haya.

SHIJA K.

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
120
Reaction score
21
Iwapo nikibahatika kupewa nafasi ya kuonana na mh. Rais jk nitamshauri hv, mosi, avunje uongozi mzima wa helsb kwa sababu hauna tija nzuri kwa maendeleo ya elimu ya juu na unafanya kazi ya kubahatisha tena afadhari ya waganga wa kienyeji. Mf. Bodi hiyo inawapa kipaumbele watoto yatima lakini mbona wapo ambao ni yatima na wamekosa na wasiyo yatima wamepata mia? Wanasema wenye dip wanaweza kujisomesha kwa mshahara gani mfano waalim kila siku wanalia mshahara mdogo na tena wanawajua wategemezi wao? Na kwann hayo yote wasingeyaweka wazi ili sisi wenye dip tusiombe kabisa? Huu siyo ubabaishaji!? Pili, ningemuomba asimike uongozi mpya na tena aliye mwadirifu na ambae alisomea tanzania na kuishi tanzania na tena aliyesoma shule za akina kayumba ili ajue anaowahudumia ni watu wa aina gani? Tatu, ningemuomba atoe agizo kwa uongozi mpya kwamba uhakikishe kila aliyekosa mkopo analipiwa asilimia isiyopungua hamsini kwa kila mmoja ili wote twende chuo. Nnne, kwa ajili ya maboresho ya mwakani fomu za kuomba mkopo ziboreshwe kuwepo na maswali mengine ya ziada badala ya hz form za sasa zinalenga kujua uhai wa wazazi na ulemavu wa wazazi kwani siyo kila yatima hana uwezo wa kujisomesha hiyo siyo kweli kwani wapo wazazi wao walikuwa ni mawaziri wakurugenzi n .k hao huwezi ukasema et kwa sababu wamefariki basi kwa kutumia kigezo cha uyatima et uwape mkopo.au mzazi akiwa na ulemavu et iwe hoja ya kupewa mkopo ilihali wapo hadi wabunge waremavu.au kwa kuwa mimi ninadiploma et ninyimwe mkopo bila kujua mshahara niupokeao ni kiasi gani na ninawategemezi wangapi? Tano, pia ningeshauri aangarie uwezekano wa kustandalaizi huo mkopo yaani kila atakayeomba atalipiwa asilimia hamsinii ili kila mmoja awe anajipanga kuongezea hamsini kuliko kumrundikia mtu mmoja asilimia mia moja ili hali wengine wakikosa hata asilimia moja. Mwisho ningemwambia kwamba huku nyuma yako upo umati mkubwa sana ukikupigia magoti na kukulilia wewe na we neno lako moja waweza ukawaponya au ukawaangamiza na kuwazika ardhini milele hadi kiyama. Je ww ungemwambiaje?
 
afadhali wewe utakuwa na muda wa kuongea naye. Mimi nitamtemea mate hafu niende zangu!

hahahaaaaaaaa teh teh mtatuvunja mbavu humu ndani.ninacheka utadhani ninayo amani na furaha kumbe nipo kwenye msiba mzito wa kufiwa ns ndoto zangu za elimu ya juu.
 
Akili za kibavicha .com mnahasara sana kwenye hii dunia jk kathubutu kaweza na sasa anasonga mbele mzee wenu anazeeka tu.

ni kawaida kwa ccm,kila kitu huwa hakiwezekani mbona sasa mnataka kutoa chakula cha bure kwa wakazi wa ngorongoro?somesheni watoto BURE!acheni SIASA
 
akili za kibavicha .com mnahasara sana kwenye hii dunia jk kathubutu kaweza na sasa anasonga mbele mzee wenu anazeeka tu.

kwanini kila atakayetoa mawazo mbadala mnambatiza kuwa ni chadema? Kwanini iwe chadema na siyo cuf au dp, nccr mageuzi? Au chadema ndiyo chama pinzani peke yake? Au ndo ule usemi ukirusha jiwe ukisikia mlio paa ujue limempata mhusika? Au mti wenye matunda ndio upigwao mawe? Maana nimefuatilia hoja za humu kila aikosoae serikali basi ni cdm. Naombeni ufafanuzi kwanini iwe chadema na isiwe cuf,nccr,tlp,updp,tpp,dp,ccj n.k
 
Akili za bavicha ndivyo zinavyowatumeni siyo kosa lenu slaa kawaharibu poleni.

Tatizo hao bavicha juzi walikuwa wanashangilia he...mimi nimepewa mkopo asilimia mia mara asilimia sabini then upande mwingine wanaiponda serikali! .kweli bavicha hamna shukrani huyu babu katuharibia vijana.
 
Mimi nitamwambia yafutayo

1.Amrudishe huyo mdada ambaye Paul Kagame anadai ni dada wa Habyarimana
Kisha amchukue vicky kamata au masogange azibe nafasi.

2.Atulie ofisini asikilize matatizo ya watanzania na jins serikali yake ilivyoshindwa kuyatatua,
Pia safari zimetosha sasa na aache kuchekacheka kwenye Tv.

3. Ahakikishe kabla ya oct 31, 2015 anamtoa Yule mume mwenza kule segerea ili watanzania
Tupate cha kumkumbukia kwani hadi sasa hana cha kukumbukwa na cha kujivunia vinginevyo
Tutaumbuka kweli kama alivyosema kweli kule mwanza tutaumbuka baada 2015, kwa kupoteza
Kura tulizompa kwa miaka kumi Nchi ilikuwa likizo.
 
Nitamwambia ajiuzulu kwa kushidwa kutekeleza majukumu
 
Tatizo hao bavicha juzi walikuwa wanashangilia he...mimi nimepewa mkopo asilimia mia mara asilimia sabini then upande mwingine wanaiponda serikali! .kweli bavicha hamna shukrani huyu babu katuharibia vijana.

wewe acha upumb.av.u wako!!! hiyo mikopo sio ya kikwete wala serikali kwani hawatoi mishahara yao, ni mali za mafujajasho na matanzania wote kila mmoja anahaki ya kupata mkopo huo kwa anakopeshwa hapewi bure maccm mnakera sana kujifanya nchi hii ni yenu.
 
Akili za kibavicha .com mnahasara sana kwenye hii dunia jk kathubutu kaweza na sasa anasonga mbele mzee wenu anazeeka tu.

afu we zee j.i.nga acha ku2zngua bange pande hz,2nakuheshim sn uctake ku2haribia mood ze2,sasa bavicha imeingiaje hapa?
 
Hii loan Board ni kilio cha siku nyingi na inajulikana.

Mimi ningesisitiza la kukaa chini na kutusikiliza vilio vyetu
 
Kazeni moyo mutatoka tuu tena kwa jasho kumbukeni hakuna serikari inayotaka wananchi wake waelimike hata kidogo kwanza niwapongeze kwa kufika stage hio na kutambua haki zenu
 
kwanini kila atakayetoa mawazo mbadala mnambatiza kuwa ni chadema? Kwanini iwe chadema na siyo cuf au dp, nccr mageuzi? Au chadema ndiyo chama pinzani peke yake? Au ndo ule usemi ukirusha jiwe ukisikia mlio paa ujue limempata mhusika? Au mti wenye matunda ndio upigwao mawe? Maana nimefuatilia hoja za humu kila aikosoae serikali basi ni cdm. Naombeni ufafanuzi kwanini iwe chadema na isiwe cuf,nccr,tlp,updp,tpp,dp,ccj n.k


And vice versa is true ukikosoa chadema utaambia wewe ni CCM inatia kichefuchefu kabisa yaani kila jambo ni siasa tu tena zisizo na tija!!!!

Lakini tusikate tamaa tuendelee kubana tu kila upande mpaka watakapojua maisha ya wananchi ni zaidi ya vyama vya siasa,na Tanzania ni bora kuliko hivyo vyama vyao!!!


Mkuu SHIJA K usihofu tupo wengi tunaoliona hili tatizo na kukereka ila tusiwache walale kwa starehe,tuendelee kusema ukweli huu
 
Hii loan Board ni kilio cha siku nyingi na inajulikana.

Ninapochoshwa zaidi na hawa wanaojiita loan board ni kwamba imetengenezwa kwa watoto wa matajiri kuweza ila wale walengwa masikin na mayatima hawapewi
 
Back
Top Bottom