Nikilewa zinashuka chini

Nawaambiaga pombe ni kwa ajili ya akili kubwa tu ukiona ww pombe inakuendesh na unashindwa kui control achana nayo imekuzidi uwezo tayari.
Mbona pombe tunakunywa na tunarudi home fresh tu tena Tuna drive bila shida na kesho mapema tunawahi Job.
Nyie pombe kwani mnakunywaje kunywaje au mnakunywa matap tap
 
Siku ukipigwa shot ya ile grid ya taifa akili itakukaa sawa... Unakulaje malaya bila ndom mzee?
 
Dogo ukiwa kijana ni lazima upige gambe, hiyo mishangazi itakuwahisha kwa sir God
 
Mpokee Yesu
 
Angalia tu isije kushuka "nyuma" ikawa habari nyingine kabisa.
Na endapo ikiwa hivyo trust me Kesho yake utaacha pombe maisha yako yote.
 
Kanuni tatu muhimu za pombe za kuzingatia sana
1. Wewe ni nani
2. Uko wapi
3. Unafanya nini
Ukiweza kuzifuata hivi pombe itakupa faida nyingi sana
Sawa mkuu nitalifanyia kazi
 
Suna tabia ya kuokota mwanamke bar na kuondoka,
Japo sinywi pombe ila huwa nakaa bar na jamaa, ila hakuna jambo gumu kama kwenda na demu wako wa kila siku bar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…