Nikilewa zinashuka chini

Nikilewa zinashuka chini

Nawaambiaga pombe ni kwa ajili ya akili kubwa tu ukiona ww pombe inakuendesh na unashindwa kui control achana nayo imekuzidi uwezo tayari.
Mbona pombe tunakunywa na tunarudi home fresh tu tena Tuna drive bila shida na kesho mapema tunawahi Job.
Nyie pombe kwani mnakunywaje kunywaje au mnakunywa matap tap
 
Siku ukipigwa shot ya ile grid ya taifa akili itakukaa sawa... Unakulaje malaya bila ndom mzee?
 
Daah nashukuru Mungu kwa kuniepusha na dhoruba ya kunywa hivo vitu...

Japo kwa sasa kuna huyu shangzi mpya daah anapenda kunywa hatareee mpaka naona kabisa atanifundisha...

Nimeanza mdogo mdogo mara shisha mara viroboti. Naomba MUNGU nisije kuwa mlevi mazima..

Mkuu kuacha pombe ni wewe hakuna dawa yoyote ila ni kuandaa akili yako kama seriously unaacha we acha

Kama kupenda mishangazi nayo ni ulevi basi mniache nife tuu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Vishu Mtata nae ana ulevi wa kuji snap akiwa na watoto wa 2k... Hii laana kaka haitokuacha salama

BRAZA CHOGO we ulevi wako nini 😄😄😄😄
Dogo ukiwa kijana ni lazima upige gambe, hiyo mishangazi itakuwahisha kwa sir God
 
Wakuu kwema?
Kila nikilewa tu nataman wanawake! Najikuta mara nyingi najitubu UTI kali kila mara

Nadhan mnajua ukilewa mipira unasahau. Lengo la huu Uzi ni mwenye connection ya dawa ya kuacha pombe please naiomba.

Kabla hayajanikuta ya kunikuta.

Nawasilisha.
Mpokee Yesu
 
Angalia tu isije kushuka "nyuma" ikawa habari nyingine kabisa.
Na endapo ikiwa hivyo trust me Kesho yake utaacha pombe maisha yako yote.
 
Kanuni tatu muhimu za pombe za kuzingatia sana
1. Wewe ni nani
2. Uko wapi
3. Unafanya nini
Ukiweza kuzifuata hivi pombe itakupa faida nyingi sana
Sawa mkuu nitalifanyia kazi
 
Suna tabia ya kuokota mwanamke bar na kuondoka,
Japo sinywi pombe ila huwa nakaa bar na jamaa, ila hakuna jambo gumu kama kwenda na demu wako wa kila siku bar
 
Back
Top Bottom