Nikimaliza chuo nifanye nni?

Joined
Sep 23, 2022
Posts
28
Reaction score
25
Mimi ni mwanafunzi wa chuo, nipo mwaka wa mwisho. Hapa nilipo ninamawazo mengi kuhusu kipi ntafanya baada ya kumaliza chuo. Nasomea mambo ya Utaalamu wa Vifaa Tiba vya Hospitali. Wazazi wangu na ndugu zangu wana matumaini makubwa sana juu yangu hadi naogopa!!

Mwenye ushauri wwte naomba anisaidie jmn!!!. Kwasababu sahz hadi naogopa kurudi nyumban baada ya kumaliza chuo.
 
Katika vitu hutakiwi kufanya ni kurudisha mpira kwa kipa kirahisi. Anza sasa kutafuta njia ambayo itakusababisha usirudi nyumbani pindi utapomaliza chuo.
 
na mm nipo mwaka wa mwisho yan nawaza sana nifanye nn
 
mnanikumbusha kipindi kileeee... ila uzuri home ni hapahapa dar. namaliza chuo miez minne mbele napata mchongo wa intern posho laki260 mwezi. Nimekomaa miez kadhaa sioni dira. nkaacha intern nkaingia kariakookama winga. Komaa weeee hola! kama utakuwa na kamtaji hata ka laki5 kimbilia hta mbarali shamba huko ukakomae na kilimo, usirud home
 
Skia wewe tafuta mafundi uwe kibarua wao.

Ukibahatika kukutana na mwenye nyumba mpe ABC yako
 
chuo gani upo?
 
Mbarari kukodi shamba la kulima mpunga hekari Moja ni laki Tano(500K)
 
Tafuta hata sehemu ya kujitolea kwa muda tu kulingana na taaluma yako...

.(ushauri tu huu ila sio lazima uufuate )
 
Olewa
 

Kwanza toa mentality ya kwamba you have to prove yourself, pambana kwa kadri ya uwezo wako ila si kwa kuonyesha you need to prove yourself.

Kama hukuweza save chochote it’s okay ila kwa huu mwaka wa mwisho pambana upate saving kwa namna yoyote ile kutoka boom kama unalo au hata hela unayo tumiwa home. Hii itakusaidia utakapo hitaji kuanza kujisimamia ukimaliza chuo na si lazima huu ndo uwe mtaji wako wa kuanzisha biashara (si lazima ila unaweza kuwa)

Usirudi home moja kwa moja, tafuta pa kujishikiza mapema ukiwa una maliza mwakani unakua unajua wapi pa kuanzia, whether ni biasharani kwa watu, connections utakazo tengeneza au through industry uliyo somea

Apply kazi mbali mbali si lazima hizo ulizo somea, you never know wapi bahati yako ime lalia

Apply scholarship mbali mbali ukiwa unahangaika na kutafuta kazi, hii inaweza ikawa njia nyingine ya kujiendeleza

Make sure unakua at peace na nyumbani at all times kiasi kwamba pale unapo kwama hawawi wazito kukusaidia. Ile mentality ya kujitaka kuwa mkubwa na kuji isolate itaku cost ukiiweka mbele

Achana na peer pressure, ukiona wenzio wana progress endelea na mwendo wako. Mahusiano muhimu lakini si lazima ukiwa unajitafuta.

TAKE IT SLOW.
 
Ukiambiwa uuze vyuma chakavu, utauza Mkuu?

ITUMIE ELIMU YAKO KUTATUA CHANGAMOTO KWENYE MAZINGIRA YALIYO KUZUNGUKA UTAPATA PESA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
ila laki5 ukiwa chuo hea ndogo sana mana unaclick batani zinatoka tu. ukimaliza chuo unaweza kata mwaka hujapata laki ya pamoja
Nazungumzia kilimo Cha mbarali gharama ni hizi
1.kukodi shamba hekari Moja =500000.
2.kulima shamba 1 H=70000.
3.Kuvuruga =60000.
4.kupanda =200000.
5.Mbegu=80000.
6.Mbolea=mifuko 3×77000=231000
Hapo bado palizi na huduma nyingine.kilimo kinataka mtaji mkubwa Kwa sasa.
Karibu Mbarali🤣🤣🤣🤣🪑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…