supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Maisha hayataki presha kiasi hicho, mtajipa misongo ya mawazo na kujiumiza. Relax, maliza masomo kwanza. Mambo mengi yanahitaji muda, uvumilivu na uzoefu pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i do other busines hovewer. kama utahitaji gum boot na vifaa vya usalama huko shamba, tent za kuweka kambi tuwasilianeNazungumzia kilimo Cha mbarali gharama ni hizi
1.kukodi shamba hekari Moja =500000.
2.kulima shamba 1 H=70000.
3.Kuvuruga =60000.
4.kupanda =200000.
5.Mbegu=80000.
6.Mbolea=mifuko 3×77000=231000
Hapo bado palizi na huduma nyingine.kilimo kinataka mtaji mkubwa Kwa sasa.
Karibu Mbarali🤣🤣🤣🤣🪑
Siku hizi mnaogopa kumaliza wenzenu tulikuwa tunafurahia kumaliza.Nami mkuu. Dah sijui itakuwaje.
July Ile inakuja😂
Ndo hivo yaaniSiku hizi mnaogopa kumaliza wenzenu tulikuwa tunafurahia kumaliza.
😃😃Ukiingia mtaani kuna msoto hadi unapaukaila laki5 ukiwa chuo hea ndogo sana mana unaclick batani zinatoka tu. ukimaliza chuo unaweza kata mwaka hujapata laki ya pamoja
Ni balaa mkuu kunyoa tu kunakushinda😃😃Ukiingia mtaani kuna msoto hadi unapauka
Secondedno future here... saidia fundi wanaishiaga kuwa bodaboda
Mimi ni mwanafunzi wa chuo, nipo mwaka wa mwisho. Hapa nilipo ninamawazo mengi kuhusu kipi ntafanya baada ya kumaliza chuo. Nasomea mambo ya Utaalamu wa Vifaa Tiba vya Hospitali. Wazazi wangu na ndugu zangu wana matumaini makubwa sana juu yangu hadi naogopa!!
Mwenye ushauri wwte naomba anisaidie jmn!!!. Kwasababu sahz hadi naogopa kurudi nyumban baada ya kumaliza chuo.
Sir midabwada ume change jina au sioNi balaa mkuu kunyoa tu kunakushinda
Kalaga baho.Sir midabwada ume change jina au sio
Mimi ni mwanafunzi wa chuo, nipo mwaka wa mwisho. Hapa nilipo ninamawazo mengi kuhusu kipi ntafanya baada ya kumaliza chuo. Nasomea mambo ya Utaalamu wa Vifaa Tiba vya Hospitali. Wazazi wangu na ndugu zangu wana matumaini makubwa sana juu yangu hadi naogopa!!
Mwenye ushauri wwte naomba anisaidie jmn!!!. Kwasababu sahz hadi naogopa kurudi nyumban baada ya kumaliza chuo.
Nakubalian n hoja hii mkuu, wazaz wasiwe kipaumbele. Hapo safar ya kwanza ni kujitegemea kwanzaHili la wazazi kuamini kutoboa baada ya masomo ni zuri lakini madhara yake ni makubwa sana kwa anayeaminiwa kwasababu ikitokea mambo yakaanza kwenda ndivyo sivyo muhusika anadata mapema sana
Kikubwa mkuu ukimaliza chuo take your time
Bado una muda mrefu wa kujipanga na ikitokea ukaona mambo ni magumu usichanganyikiwe sababu ya kufikiria wazazi na matumaini yao juu yako
Aaaah serious bro! Upo mwaka wa mwisho, chuo na hujui ufanye nini?kafsnye ulichosomea! Mantiki inataka hivyo!for starters! Ukikosa, ulichosomea, vipo vingi vya kufanya, music production, driving, kupiga picha, kuwa fleet manager kwenye makampuni!Mimi ni mwanafunzi wa chuo, nipo mwaka wa mwisho. Hapa nilipo ninamawazo mengi kuhusu kipi ntafanya baada ya kumaliza chuo. Nasomea mambo ya Utaalamu wa Vifaa Tiba vya Hospitali. Wazazi wangu na ndugu zangu wana matumaini makubwa sana juu yangu hadi naogopa!!
Mwenye ushauri wwte naomba anisaidie jmn!!!. Kwasababu sahz hadi naogopa kurudi nyumban baada ya kumaliza chuo.