Nikimpata anipendae ntampenda sana na atajuta kwanini hatukukutana mapema

Nikimpata anipendae ntampenda sana na atajuta kwanini hatukukutana mapema

sifa zako wewe ni muhitimu wa kidato cha 6. Unapenda kupika, na kucheza mziki!

Alafu unatafuta Mume Mjasiria Mali????

Binti siku hizi kama hujishugulishi Husitarajie kupata Mume.

Maana Vijana siku hizi hawataki Magolkipa, wanataka Wadada wenye kitu + unapata = Kitu.

Wanaogopa Mizinga. Jitahidi Kuwa na Kitu upate kitu kinyume na hapo utakaa sana.
 
wewe Ogopa siku hizi unamgharimia Mtoto wako Anamaliza chuo anapata kazi nzuri, hipiti mwaka Arusi.

Sasa hapo unajiuliza Miaka yoote Ajaolewa ila Kupata kazi Nzuritu na Njemba inaleta Posa!

Haaaaaaaaaaaaaaa Vijana siku hizi Mna Mahesabu sana.
 
yani ni mpole sana ila nikivurugwa mshenzi wa tabiaaaa sitakagi ujinga [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Sasa kwa kawaida binadamu wanakosea. Sasa utawezaje kumudu mapungufu hayo?.
 
Hakuna mwanaume anayeoa golikipa!
Yaani wewe upike tu na kucheza mziki halafu upate mme?
..even hata kama huyo mwanaume utakayempata akikupa mtaji wa biashara bado inaweza kuwa tatizo tu maana hata muda wa kufanya hiyo biashara kwa ufanisi utakuwa huna, kwani utakuwa unawaza kucheza miziki na kupika tu!
Kwa ulivyojieleza utaishia kuhadaiwa na unaweza usiolewe kabisa au ukaolewa tu basi kwa sababu imebidi na wala siyo aliyekuoa amekupenda, na itapelekea hata hayo maisha ya ndoa yasiwe ya furaha!
 
Kuna watu anatafuta wamPM ili apate namba zao for other purposes ila hajawapata ndo maana anarudia rudia vipost, kuweni makin siku yamewakuta msije kusema jforum wametoa taarifa zenu; just thinking loud
 
acha nifanye maombezi tu umpate.. hivyo vigezo wala sijafikisha..!!!!
ntaangalia atakayeendana na vigezo vyangu!
 
Back
Top Bottom