Nikimpata anipendae ntampenda sana na atajuta kwanini hatukukutana mapema

Nikimpata anipendae ntampenda sana na atajuta kwanini hatukukutana mapema

Daaah!!, aisee Mimi npo kama resident remi, kwahiyo ntafaa, bt elimu drs la saba, nahitaji nkumiliki, umr wangu miaka 28
 
2ba9a5a9c954922e2259daa152fdb23d.jpg
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
Nimechelewa au bado kuna kanafasi?

"UKIONA TANGAZO LIMECHANWA JUA WASHALISOMA"
 
Unapenda kupika na kucheza mziki alafu unaitaji bwana!!!

Mbona unayemtafuta ukasema utampenda hayupo kwenye hayo unayopenda wewe?

Hii sanaa bora ungesema unapenda kutiana hapo hata mimi ningeingia mzima mzima kupenda kupika itabidi upendane na jiko.
 
Back
Top Bottom