mimadota
Member
- Jan 7, 2017
- 48
- 108
- Thread starter
- #21
haaaaaaaaha yani rudi ukasome maelezo vema acha kukurupuka kwani kuna sehemu nimeandika sio bikra duuuuhu ka ni mwanaume hakika una homoni za kike yani unatabia za kikeKwani kuna tofauti gani kati ya Mwanamke ambaye ameshawahi kuolewa lakini hakuzaa na yule asiyekuwa na bikira, mi nadhani ungesema una bikira ndo ungeonekana we una tabia njema lakini kama ulishawahi kuziniwa kutoolewa kunakuongezea sifa gani.