Nikimpata anipendae ntampenda sana na atajuta kwanini hatukukutana mapema

Umejiunga juzi, hii thread yako ya tatu unatafuta mtu. Usikubali kuonekana una shida kiasi hiko, utaishia kupata wajanja tu wakutumie wapotee.
mie mwenyewe mjanja ukiwa muongo ukiniona Ana kwa ana unakimbia bira kufukuzwa
 
haaaaaaaaha yani rudi ukasome maelezo vema acha kukurupuka kwani kuna sehemu nimeandika sio bikra duuuuhu ka ni mwanaume hakika una homoni za kike yani unatabia za kike
Kwa hili jibu...inaonyesha tu hufai kuweka ndani kabisa
 
Kwani kuna tofauti gani kati ya Mwanamke ambaye ameshawahi kuolewa lakini hakuzaa na yule asiyekuwa na bikira, mi nadhani ungesema una bikira ndo ungeonekana we una tabia njema lakini kama ulishawahi kuziniwa kutoolewa kunakuongezea sifa gani.

Kunamuongezea sifa ya kuwa available 24/7 for u only
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
Umesahau hii:

  1. Nikimpata anipendae ntampenda sana na atajuta kwanini hatukukutana mapema
    Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki...
    Thread by: mimadota, Today at 1:36 PM, 48 replies, in forum: Love Connect

  2. Thread
    Naitaji baba watoto
    Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki...
    Thread by: mimadota, Monday at 3:48 PM, 12 replies, in forum: Love Connect

  3. Thread
    Nina hamu ya kuolewa ila sipati mtu aliye na utayari
    Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza...
    Thread by: mimadota, Saturday at 3:22 PM, 28 replies, in forum: Love Connect

  4. Thread
    Natafuta mfanyakazi wa ndani
    Awe binti wa miaka 18-21 awe mkristo na anae penda ibada awe anatokea mkoa wa mbeya sehemu yoyote mshahara 40000 kwa anae itaji ni pm tuma na...
    Thread by: mimadota, Jan 9, 2017, 13 replies, in forum: Nafasi za Kazi na Tenda

  5. Thread
    Natafuta mchumba ambae badae awe mume
    Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki...
    Thread by: mimadota, Jan 8, 2017, 54 replies, in forum: Love Connect
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
Km unataka wakristo tuu nenda kwa gwajima hajaoa
 
1. umesoma zaidi ya form 4

2. my mima plz, uko zaidi ya 26

3. majibu yako yanaonesha mkristo wa kuzaliwa na si mshika dini

wanajf psychologists 'll tell more
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
Ka picha tafadhali...
 
Upo serious au unafurahisha tu watu mpendwa
 
Njoo umenipata,....ntajitoa kimwili na kiakili ili niwe nawe
 
Back
Top Bottom