Nikimsaidia mke wangu kuosha vyombo kwenye korido ya nyumba ya kupanga ni kosa?

Nikimsaidia mke wangu kuosha vyombo kwenye korido ya nyumba ya kupanga ni kosa?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Hivi Kuna ubaya wowote kumsaidia mke wako kuosha vyombo koridoni?

Nadhani hakuna shida ni ushamba wa wanaume wa afrika.

Bold but nothing!

Mimi naosha vyombo bila shida yoyote.

Long live mama f
 
teh teh watu wenye limbwata bana.

#pongezi kwa hamida inaonekana kashatoa fomula kule.
 
Sasa ukimsaidia mke wako na huku umefuata nini au huna koromeo? Hakuna cha ajabu kumsaidia mkeo majukumu na si matangazo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi Kuna ubaya wowote kumsaidia mke wako kuosha vyombo koridoni?

Nadhani hakuna shida ni ushamba wa wanaume wa afrika.

Bold but nothing!

Mimi naosha vyombo bila shida yoyote.

Long live mama f
Sio kosa kabisa.
 
Hivi Kuna ubaya wowote kumsaidia mke wako kuosha vyombo koridoni?

Nadhani hakuna shida ni ushamba wa wanaume wa afrika.

Bold but nothing!

Mimi naosha vyombo bila shida yoyote.

Long live mama f
Ukiwa mwanaume wa Dar sio shida, sisi wa mikoani huwa tunawasaidia kupasua kuni😀😀
 
Back
Top Bottom