Nikimsaidia mke wangu kuosha vyombo kwenye korido ya nyumba ya kupanga ni kosa?

Nikimsaidia mke wangu kuosha vyombo kwenye korido ya nyumba ya kupanga ni kosa?

Tatizo la wanawake ukiwasaidia kitu wanachukulia waweza hivyo siku ingine watakwambia mbona siku ile ulifanya, fanya leo....


Mi huwa sijui kufanya kila kitu akiwepo. Asipokuwepo najua kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala siyo shida, kuna mmoja anafua, anapika, anadeki siku ya zamu yake. In short huo ndy uanaume
 
Hivi Kuna ubaya wowote kumsaidia mke wako kuosha vyombo koridoni?

Nadhani hakuna shida ni ushamba wa wanaume wa afrika.

Bold but nothing!

Mimi naosha vyombo bila shida yoyote.

Long live mama f
Jenga yako mkuu
 
Navuta picha unavyoinama kusugua sufuria,yani hapa kuna ile ya jux na mond sugua.
 
Back
Top Bottom