Are you a boy or a man!? How old are youachana na yule aliyeniomba Vocha wakati niko hoi kitandani naumwa .
Niko na huyu bidada moyo wangu ameshaukamata ,
Yna4 kwa nini nikufiche mama kila nionapo Coment yako kamoyo kanafanya pa.
Pokea zangu salamu Mr zero IQ nimenasa kwako kama inzi basi wacha nifie kwenye kidonda chako.
Popote mumuonapo Yna4 naomba mumfikishie salamu zangu .
Sawa sawa, ila ulikua umeshaongea naye kabla?? AuNamsubiri kwa hamuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu angalia yasije kukutokea ya Gentamycin kutangaza Shunie anamzia kuanzia siku hiyo awe anajiita mrs fulani kilichotokea mpaka leo sijamuona the talented and entertainer kwa muda sasa
Vipi akikuambia " Nina baby wangu?".Hapa ndio meseji Sent.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]