Nikimuona mwili unatetemeka

Nikimuona mwili unatetemeka

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Achana na yule aliyeniomba Vocha wakati niko hoi kitandani naumwa .

Niko na huyu bidada moyo wangu ameshaukamata.

Yna4 kwa nini nikufiche mama kila nionapo Coment yako kamoyo kanafanya pa.

Pokea zangu salamu Mr zero IQ nimenasa kwako kama inzi basi wacha nifie kwenye kidonda chako.

Popote mumuonapo Yna4 naomba mumfikishie salamu zangu .
 
achana na yule aliyeniomba Vocha wakati niko hoi kitandani naumwa .

Niko na huyu bidada moyo wangu ameshaukamata ,

Yna4 kwa nini nikufiche mama kila nionapo Coment yako kamoyo kanafanya pa.

Pokea zangu salamu Mr zero IQ nimenasa kwako kama inzi basi wacha nifie kwenye kidonda chako.

Popote mumuonapo Yna4 naomba mumfikishie salamu zangu .
Are you a boy or a man!? How old are you
 
Mkuu angalia yasije kukutokea ya Gentamycin kutangaza Shunie anamzia kuanzia siku hiyo awe anajiita mrs fulani kilichotokea mpaka leo sijamuona the talented and entertainer kwa muda sasa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Haiwezi tokea mbona mshana kafanya na Ndoa kabisa.
 
Back
Top Bottom