Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Utakua unaumwa degedege wewe siyo bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahhh sawa sasa kwann usingeanza uko PM maana hapa huon akisema anamtu naww utakua km Genta??Natafuta windo jingine
Duuhhh sasa hapo mkuu nikupenda au kutamani tuu aisee ....unajua wanawake wanapenda Heshima ya kipekee pekee..basi ivo utaonekana weee ni penda penda tu .Nitafungua ata 100
Mkuu hili jibu mbona la kiboya sana ...Mwanamke hata akiwa rais ni mwanamke tu.Natafuta windo jingine
Ungeniambia nikupe mingoooUmefurahi mwenyewe nakutafutia wifi ujue .
Na posho hupati.Samahani sana wajumbe kwa kuchelewa....
Anakuja sasa ivi ,nmeshamuita !!!vladimir putin unaitwa huku
hahaaaa huo mchapio sikuuona aisee...Utataga mayai gani?