Nikimuona mwili unatetemeka

Nikimuona mwili unatetemeka

Achana na yule aliyeniomba Vocha wakati niko hoi kitandani naumwa .

Niko na huyu bidada moyo wangu ameshaukamata.

Yna4 kwa nini nikufiche mama kila nionapo Coment yako kamoyo kanafanya pa.

Pokea zangu salamu Mr zero IQ nimenasa kwako kama inzi basi wacha nifie kwenye kidonda chako.


Popote mumuonapo Yna4 naomba mumfikishie salamu zangu .
Nashukuru kwa kukufanya utetemeke kila uonapo comment yangu..ila nimewahiwa mie

Atakuja aliembora na wa kufanana nawe

AHSANTE SANA kwa kuwa Mwanamke wa mtetemesho kwako...[emoji12][emoji12]
 
Back
Top Bottom