samahani nahisi nahitaji ufafanuzi, kidogo, kwani mwanaume akipewa hela na mwanamke afu akajisifia kuwa mwanamke wake anamtoa kuna tatizo? kama mwanaume hana kipato cha kutosha akiongezewa na mwanamke kuna shida?mwanamme mzima huna haya unajisifia unavyopewa pesa na wanamke halafu eti dume la mbegu... hebu tuondolee ujinga hapa, dume la mbegu tangu lini likahongwa na mwanamke. Tafuta jina lingine, hilo halikufai...
ujue inashangaza hv me nilijua nataka nishauri mwanamke kumbe mtoto wa kiume? hii sijaipenda kabisa hasa ile eti anakata mkwanja pole sana
jimama halijambo mkuu?Mkwanja ananikatia kiupendo tu! Na wala simtegemei kwa kila kitu! Ni vijimambo tu!
samahani nahisi nahitaji ufafanuzi, kidogo, kwani mwanaume akipewa hela na mwanamke afu akajisifia kuwa mwanamke wake anamtoa kuna tatizo? kama mwanaume hana kipato cha kutosha akiongezewa na mwanamke kuna shida?
nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki ukweli! Nifanyeje? Halafu ndo ananitoa ki ukweli mshiko anao! Jamani nifanyeje?
Kidume cha mbegu kinatumikishwa kisa mshiko? Tunahitaji neno lingine la kuwatambulisha wanaume wa ukweli.
Nwy ukijua/penda kupokea kua tayari kutoa. Kama huwezi matakwa yake mweleze.
Alikuja?Nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki ukweli! Nifanyeje? Halafu ndo ananitoa ki ukweli mshiko anao! Jamani nifanyeje?
Jamani! Kidume nakwenda mpaka 7 mda mwingine 8 mpaka miguu inatetemeka,mnaona bado simridhishi demu wangu!? Haya sijui mwatake!