Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa mkuu scrap utafanyia nini huku bara, labda kama na wewe ni muuzaji wa scrap.kama huna gari huku bara je,itakuwaje
ushauri konki sana..Kama pesa unayo safi tu kama huna acha, usije bakiza gari yako ipigwe jua hapo while ukiji changa changa
[emoji1][emoji2][emoji3][emoji2][emoji11][emoji3] nina jiran ysngu kachukua VANGUARD ZENXJI kwa 20MJibu tosha kabisa. Hapa ndo huwa nashindwa elewa maana ya Muungano ni nini. Huu Muungano Makaratasi uvunjwe tu
Ukifikisha bara gari inakuwa jahaziMsaada wakuu,nataka ninunue gari used iliyosajiliwa zanzibar,ije bara,ya mwaka 2004,cc 1490,bei mil 5,,ushuru tra sh ngapi,na usafirishaji sh ngapi,mpaka naanza kutumia dar baada ya kusajili..
I see hii nchi kweli wezi. Na hapo bandari ni yetu?. Halafu hela zenyewe zinazokusanywa,ndio hizo CAG anasema zimepigwa. . DaahUsafiri siwezi jua gharama zake ila kwa Kodi utalipa kile ambacho yeye hakulipia...mfano ikiwa huko bara ushuru ni milion 8 na huku kisiwani ushuru ni milion mbili,hivyo ukiichukua kuipeleka bara itakubidi ulipie shilling milion 6 kufidia ule upungufu
kivipi,hebu fafanua mkuu kwa faida ya wengi..Ukifikisha bara gari inakuwa jahazi