Nikinunua gari Zanzibar

Nikinunua gari Zanzibar

Kama pesa unayo safi tu kama huna acha, usije bakiza gari yako ipigwe jua hapo while ukiji changa changa
 
Jibu tosha kabisa. Hapa ndo huwa nashindwa elewa maana ya Muungano ni nini. Huu Muungano Makaratasi uvunjwe tu
[emoji1][emoji2][emoji3][emoji2][emoji11][emoji3] nina jiran ysngu kachukua VANGUARD ZENXJI kwa 20M
Gar nzur hataree.
Sasa alipokuja kuivusha Maji plus Usajil gar ikafka 35M.
Nikamuuliza kuna haja gan ya kuchukua Gar Zenji.
Akaniambia yan we acha tuh nimepigwa kinyama sirudii tena.
From that nikajua Muungano ni boshen tupu.

Yan Mtu wa Bara ukitaka kununua Ardhi hapo Zenji Masharti/Vipengele kibao kwa SheA[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Msaada wakuu,nataka ninunue gari used iliyosajiliwa zanzibar,ije bara,ya mwaka 2004,cc 1490,bei mil 5,,ushuru tra sh ngapi,na usafirishaji sh ngapi,mpaka naanza kutumia dar baada ya kusajili..
Ukifikisha bara gari inakuwa jahazi
 
Mimi ni mhanga wa kununua gari Zanzibar. Mpaka leo sina hamu. Ilikuwa hivi niliona gari nzuri IST nikaambiwa milioni tano. Nikalialia nikashushiwa hadi 4.7m. nikaona yes mjanja mimi kikija bongo nikipiga rangi mkono mmoja plus usajili mpya nitatisha sana.
Basi buana baada ya kulipa tu. Kimbembe kikaanzia hapo angalia ushuru tra tofauti ya kodi inasoma milioni tatu. Mara uchakavu mara kusafirisha laki sita. Mara ooh. Mzee baba kuja kupiga toto gari imenikula si chini ya 9m plus na repair.
Gari ambayo kibara ningeinunua only for 7m .
Nilibaki najisonya tu nikasema mimi kununua gari zenji labda nirogwe.
 
Usafiri siwezi jua gharama zake ila kwa Kodi utalipa kile ambacho yeye hakulipia...mfano ikiwa huko bara ushuru ni milion 8 na huku kisiwani ushuru ni milion mbili,hivyo ukiichukua kuipeleka bara itakubidi ulipie shilling milion 6 kufidia ule upungufu
I see hii nchi kweli wezi. Na hapo bandari ni yetu?. Halafu hela zenyewe zinazokusanywa,ndio hizo CAG anasema zimepigwa. . Daah
 
Vipi kuhusu kusafirishia mizigo mingine kutoka nje kama China, kama ya biashara Zanzibar na kuja na nayo bara. Je kodi yake ikoje?.
 
Back
Top Bottom