Sawa.Nenda kwenye ofisi zao
Wape elfu 20 uone kama hawakutumii code ya kuifungua meter dakika hiyo hiyoTatizo ni kwamba, nikinunua umeme kisha nikaingiza Token, inaandika "error 77" na Token haziingii. Kwa sasa ni zaidi ya wiki tatu naongea na watoa huduma wa ngazi mbalimbali wakiniahidi kuwa mafundi wa karibu watafika kutatua tatizo lakini hakuna kinachoendelea mpaka sasa. Kila nikiwapigia simu wanachukua Namba ya mita na Namba ya simu lakini utekelezaji hakuna. Shida ni nini?
Huenda kunajambo baya uliifanyia 77, 77 inalindwa na mwenge mnaoudharau, na ni huo mwenge ndio unaotutia ujinga watanzania tuwe tunainamisha vichwa chini kama kondoo, katubu haraka.Tatizo ni kwamba, nikinunua umeme kisha nikaingiza Token, inaandika "error 77" na Token haziingii.
Kwa sasa ni zaidi ya wiki tatu naongea na watoa huduma wa ngazi mbalimbali wakiniahidi kuwa mafundi wa karibu watafika kutatua tatizo lakini hakuna kinachoendelea mpaka sasa.
Kila nikiwapigia simu wanachukua Namba ya mita na Namba ya simu lakini utekelezaji hakuna.
Shida ni nini? TANESCO
Linda Id yako pia.mita yako inashida mkuu ninaweza kukupa number yao ukawasaliana nao kwa msaada zaidi je upo maeneo gani ili niweze kuku saidia
Wape elfu 20 uone kama hawakutumii code ya kuifungua meter dakika hiyo hiyo
Ingiza aina ya tatizo, jina na namba ya ya mita kwenye Google, utapata ufumbuzi.Tatizo ni kwamba, nikinunua umeme kisha nikaingiza Token, inaandika "error 77" na Token haziingii.
Kwa sasa ni zaidi ya wiki tatu naongea na watoa huduma wa ngazi mbalimbali wakiniahidi kuwa mafundi wa karibu watafika kutatua tatizo lakini hakuna kinachoendelea mpaka sasa.
Kila nikiwapigia simu wanachukua Namba ya mita na Namba ya simu lakini utekelezaji hakuna.
Shida ni nini? TANESCO
Alafu wewe ndio mana walitaka kukupiga jukwaa la intelligence kwa mambo yako haya haya ππππππHuenda kunajambo baya uliifanyia 77, 77 inalindwa na mwenge mnaoudharau, na ni huo mwenge ndio unaotutia ujinga watanzania tuwe tunainamisha vichwa chini kama kondoo, katubu haraka.
mimi sio fundi wala mfanyakazi wa Tanesco ila niandalie 15,000 nikishamaliza kazi yako nitumie kwenye namba yangu...Tatizo ni kwamba, nikinunua umeme kisha nikaingiza Token, inaandika "error 77" na Token haziingii.
Kwa sasa ni zaidi ya wiki tatu naongea na watoa huduma wa ngazi mbalimbali wakiniahidi kuwa mafundi wa karibu watafika kutatua tatizo lakini hakuna kinachoendelea mpaka sasa.
Kila nikiwapigia simu wanachukua Namba ya mita na Namba ya simu lakini utekelezaji hakuna.
Shida ni nini? TANESCO
Halafu TANESCO, ondoeni basi ule utaratibu wenu wa kututaka kwenda nyumba za jirani kurejesha umeme iwapo tu units zitaisha zote. Mkumbuke kuna kujisahau!!
Sasa inakuwaje umeme umekata ndani ya nyumba yangu, nimenunua units!! Eti ili umeme urudi, natakiwa kwenda kutumia mita ya jirani!! Hivi ni kwa nini msiweke utaratibu wa kurejesha hiyo huduma huku wateja wenu wakiwa majumbani kwao? Kuna ulazima gani wa mimi kwenda kwa jirani? Na kwa nini mliweka utaratibu wa kidwanzi kama huu kupitia hizi mita zenu za LUKU? Kumbukeni zamani hakukuwepo na ujinga kama huu.
TANESCO, wakati fulani mjue mnatudhalilisha! Ondoeni hii kitu bhana.
Huu utaratibu uko nchi gΓ ni? Ni kwa mita zipi? Mbona mimi umeme unit zikiisha naweka tuu bila kuhusisha jirani?Halafu TANESCO, ondoeni basi ule utaratibu wenu wa kututaka kwenda nyumba za jirani kurejesha umeme iwapo tu units zitaisha zote. Mkumbuke kuna kujisahau!!
Sasa inakuwaje umeme umekata ndani ya nyumba yangu, nimenunua units!! Eti ili umeme urudi, natakiwa kwenda kutumia mita ya jirani!! Hivi ni kwa nini msiweke utaratibu wa kurejesha hiyo huduma huku wateja wenu wakiwa majumbani kwao? Kuna ulazima gani wa mimi kwenda kwa jirani? Na kwa nini mliweka utaratibu wa kidwanzi kama huu kupitia hizi mita zenu za LUKU? Kumbukeni zamani hakukuwepo na ujinga kama huu.
TANESCO, wakati fulani mjue mnatudhalilisha! Ondoeni hii kitu bhana.
Ahsante. Ngoja nifanye hivyo.Habari Tate Mkuu, asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole sana kwa changamoto hiyo, jinsi ya kuondoa ujumbe wa error 77 kwenye mita yako tafadhali nunua betri mpya kisha weka kwenye rimoti ya kujaza token na chomeka kwenye soketi ndani kwako hata kama unit zimeisha kisha bonyeza 0 namba ya mita 0 tena namba ya mita weka OK itakuandikia good/accept na utajaza token zako, Mfano 024213255672024213255672. Na kuhusu maoni uliyotupatia tumepokea kwa utekelezaji zaidi.^LS