Nikinyonya denda tumbo linasumbua

Mvua zimeanza...sijala denda cku nying
 
jamani naombeni msaada wenu mm nkila denda kwa demu wangu lazima asubuh niamke tumbo linasumbua sana mithili ya mtu aliyevimbiwa au kama limejaa gesi sjajua tatizo nini kwa anayejua naomba msaada wake
Mh!! Chemistry imekataa hapo!!
 
jamani naombeni msaada wenu mm nkila denda kwa demu wangu lazima asubuh niamke tumbo linasumbua sana mithili ya mtu aliyevimbiwa au kama limejaa gesi sjajua tatizo nini kwa anayejua naomba msaada wake
Duh... Acha hayo makitu
 
Dawa mkuuu ukipiga denda either mapizia kabisa tendo au Kashtue japo choon maana wakata unapiga denda unapata muhemko mkubwa hayo manii yanakuja hadi ñjian na kusubir muhemko mkubwa yatoke ila ukistop hayarud tena yalikotoka yanaishia njian hapo ndo inakupelekalea mshipa wa manii kuwa na mani yakiokwama na km ukiendelea mkuu kupiga denda bila kuyatoa moja kwa moja unaweza pata uvimbe wa hio mishipa na ikapelekea maradh yanayoitwa orchitis so mkuu ukihis hivy nakushauri malizia japo kwa masta utajiskia fresh baada ya mda
 
jamani naombeni msaada wenu mm nkila denda kwa demu wangu lazima asubuh niamke tumbo linasumbua sana mithili ya mtu aliyevimbiwa au kama limejaa gesi sjajua tatizo nini kwa anayejua naomba msaada wake
jaribu kula denda na demu mwingine labda demu wako ana matatizo ya kimywa
 
jamani naombeni msaada wenu mm nkila denda kwa demu wangu lazima asubuh niamke tumbo linasumbua sana mithili ya mtu aliyevimbiwa au kama limejaa gesi sjajua tatizo nini kwa anayejua naomba msaada wake
Mungu anaongea na wewe acha mambo ya mademu tafuta Mwanamke mwenye sifa stahiki Uoe na uachane na Uzinzi.utakuwa salama sana
 
Na uki fanya mapenz utapata kipindupindu kabisaaa
hahahahhahaha, kwa hiyo mkuu unamshauri aache kweli? kweli mkuuu? utakukuwa umemuonea mshauri kivingine.
 
Sasa mtu gan kijikiss kidogo tu tumbo linamuuma sie tunajarbu kumuokoa kutoka kwenye dhahama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…