Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Wewe jamaa una hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwamba anawaza,,Unawaza denda asubuhi yote hii?
Mh!! Chemistry imekataa hapo!!jamani naombeni msaada wenu mm nkila denda kwa demu wangu lazima asubuh niamke tumbo linasumbua sana mithili ya mtu aliyevimbiwa au kama limejaa gesi sjajua tatizo nini kwa anayejua naomba msaada wake
we jamaaUnauhakika wote mu wasafi wa vinywa? Maana kuna watu wakikuongelesha tu unalewa
Duh... Acha hayo makitujamani naombeni msaada wenu mm nkila denda kwa demu wangu lazima asubuh niamke tumbo linasumbua sana mithili ya mtu aliyevimbiwa au kama limejaa gesi sjajua tatizo nini kwa anayejua naomba msaada wake
jaribu kula denda na demu mwingine labda demu wako ana matatizo ya kimywajamani naombeni msaada wenu mm nkila denda kwa demu wangu lazima asubuh niamke tumbo linasumbua sana mithili ya mtu aliyevimbiwa au kama limejaa gesi sjajua tatizo nini kwa anayejua naomba msaada wake
Truejaribu kula denda na demu mwingine labda demu wako ana matatizo ya kimywa
Mungu anaongea na wewe acha mambo ya mademu tafuta Mwanamke mwenye sifa stahiki Uoe na uachane na Uzinzi.utakuwa salama sanajamani naombeni msaada wenu mm nkila denda kwa demu wangu lazima asubuh niamke tumbo linasumbua sana mithili ya mtu aliyevimbiwa au kama limejaa gesi sjajua tatizo nini kwa anayejua naomba msaada wake
hahahahhahaha, kwa hiyo mkuu unamshauri aache kweli? kweli mkuuu? utakukuwa umemuonea mshauri kivingine.Na uki fanya mapenz utapata kipindupindu kabisaaa
Sasa mtu gan kijikiss kidogo tu tumbo linamuuma sie tunajarbu kumuokoa kutoka kwenye dhahamahahahahhahaha, kwa hiyo mkuu unamshauri aache kweli? kweli mkuuu? utakukuwa umemuonea mshauri kivingine.
Atakua amelila jana leo asubui kaamka tumbo linauma... Pole mkuuUnawaza denda asubuhi yote hii?
Ni kuacha tu.. Inaonekana hupend iyo kitu.Sio kwamba anawaza,,
Hii ni mubashara baada ya tukio la usiku
uwiiii atakosa uhondo wa hii dunia. mwambie kivingine nimesema/shauriSasa mtu gan kijikiss kidogo tu tumbo linamuuma sie tunajarbu kumuokoa kutoka kwenye dhahama