Nikinyonya denda tumbo linasumbua

Nikinyonya denda tumbo linasumbua

Raphael gadau

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,006
Reaction score
306
Jamani naombeni msaada wenu,

Mimi nikila denda kwa msichana wangu lazima asubuhi niamke tumbo linasumbua sana mithili ya mtu aliyevimbiwa au kama limejaa gesi.

Sijajua tatizo nini, kwa anayejua naomba msaada wake.
 
Acha kabisa ni hatari kwa afya yako
 
Yaani asubuhi yoote hii umetuletea mada mubashara namna hii MKUU wewe ni kiboko
 
Back
Top Bottom