njundelekajo
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 310
- 227
Miaka ya nyuma sikua na tatizo hili lakini kuanzia mwaka 2008 niliporudi toka makambako nkapata kifua kikali sana kilichinisumbua takribani miezi miwili.Nilpofanikiwa kukitibu likaja tatizo lingine kwamba nikinywa maji yenye ubaridi najisikia kichefuchefu na wakati mwingine natapika kabisa'''''''' nina tatizo gani na tiba yake ni nini?