Nikinywa maji ya baridi natapika

Nikinywa maji ya baridi natapika

njundelekajo

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
310
Reaction score
227
Miaka ya nyuma sikua na tatizo hili lakini kuanzia mwaka 2008 niliporudi toka makambako nkapata kifua kikali sana kilichinisumbua takribani miezi miwili.Nilpofanikiwa kukitibu likaja tatizo lingine kwamba nikinywa maji yenye ubaridi najisikia kichefuchefu na wakati mwingine natapika kabisa'''''''' nina tatizo gani na tiba yake ni nini?
 
Inawezekana kuwa hayo maji baridi yana iritate phrenic nerve na ndiyo maana unatapika ikiwa kama responce ya mwili kujikinga na madhara. Wacha kunywa maji baridi sana mpaka uonane na gastro enterologist.
 
hapa bado sijakuelewa kaka lugha ni ya kitaalam mno dadavua
 
Habari Mkuu,
Je kwa sasa unaishi wapi?. Nakushauri usinywe maji ya baridi tena, maji ya baridi si mazuri kabisa kwa afya na kusema ukweli mwili hauyahitaji maji hayo. Wewe kunywa tu maji katika joto la kawaida tu (room temperature) usiweke katika friji tena maji yako, pia kama unaishi sehemu za baridi sana unaweza kuyapasha joto kidogo ili yawe ya uvuguvugu ila yasiwe ya moto sana tena.

Jifunze mengine kuhusu maji HAPA.

Back
Top Bottom