Emma Mnyama
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 201
- 183
Jambo zuri kabisa. Usimhisi mkeo kwa lolote. Utaishi raha mstarehe.Haya ni mawazo yangu tu, sijui kwa wengine. Labda nikiishiwa mda was maongezi, napo nitapiga simu tu na si mengine
Kabisa.Wewe ndo mme mwema Kiukweli simama n msimamo wako huo huo
AsanteeeeeeKabisa.
Ipo siku utashika na kuipekua AMINI IVOHaya ni mawazo yangu tu, sijui kwa wengine. Labda nikiishiwa mda was maongezi, napo nitapiga simu tu na si mengine
Mbona umechelewa sana hata girl friend wako hautakiwi kushika CMU yakeHaya ni mawazo yangu tu, sijui kwa wengine. Labda nikiishiwa mda was maongezi, napo nitapiga simu tu na si mengine
hadi kutotaka asiishike maana yake ni kuogopaJambo zuri kabisa. Usimhisi mkeo kwa lolote. Utaishi raha mstarehe.
Amina mrembo. Vipi Sunday?Asanteeeeee
Mnachokiogopa hakipo. Jipeni Uhuru wa mapenzi!hadi kutotaka asiishike maana yake ni kuogopa
Labda anipe nimshikie lakini sio kuperuzi. Na ikiita atakuta missed calls.huwezi ukaishi na mwanamke ndani miaka yote usiishike simu yake huo ni uongo
Sina, na sihitaji girlfriend kwa sasaMbona umechelewa sana hata girl friend wako hautakiwi kushika CMU yake