Nikioa sitashika simu ya mke wangu.

Nikioa sitashika simu ya mke wangu.

Hata ukimfumania chumbani kwako itabidi usimshike ugoni na wala usiumie moyo....mpongeze tu kwani yatakua ni matokeo ya kutoshika simu yake.
 
huwezi ukaishi na mwanamke ndani miaka yote usiishike simu yake huo ni uongo
Mkuu hawa hawajui thamani ya mwanamke wa ndoa......wameshindwa kutofautisha maumivu ya kumegewa girl friend/demu au hawala na mke wa ndoa.

Na hii ni kutokana bado hawajayakabili majukumu ya kulea mke na familia kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom