Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe na sababu za kwanini usiishike,Haya ni mawazo yangu tu, sijui kwa wengine. Labda nikiishiwa mda was maongezi, napo nitapiga simu tu na si mengine
Utaoaje bila kuanza urafiki? Girl friend sio lazima umtafune .Vipi mnyama?Sina, na sihitaji girlfriend kwa sasa
Kumbe ni hanithi ndiyo maana umekuja kuandika upuuzi hapa.Sina, na sihitaji girlfriend kwa sasa
Sijapata rafiki wa kike "nimejifunza kuwa makini kabla ya kuchagua rafiki" naona bora nikae alone kuliko kua na rafiki nisie endana nae. @ show me your friend and I will tell you who you are.Utaoaje bila kuanza urafiki? Girl friend sio lazima umtafune .Vipi mnyama?
Kwa jns ulivyoandika nimekuelewa kuwa wewe ni mtu wa aina ganiSina, na sihitaji girlfriend kwa sasa
Nini kimekuleta kutaka ushauri.jamaa unazingua unajuaSijapata rafiki wa kike "nimejifunza kuwa makini kabla ya kuchagua rafiki" naona bora nikae alone kuliko kua na rafiki nisie endana nae. @ show me your friend and I will tell you who you are.
Haswaaaa. Kilichotawala hapa ni hofu , hofu ya kuujuu ukweli. Hapa watu wanaishi furaha ya uwongo na matumaini ya uwongo.Huko ni kuogopa ukweli ambao ungekupa maamuzi ya kuwa huru.
Hayo mambo ya kuogopa mwisho wa siku unakuta maisha muliyoyaandaa muda mrefu yameshaharibika bora ungejua mapema wanawake wengi wanatamaa,akiwa na wewe anaona kama angempata zaidi yako kwa maneno tu ya msg na fikra chafu.
Bora ushike kabla hujapata ngoma au kulea watoto wa mwenzio.
Haya ni mawazo yangu tu, sijui kwa wengine. Labda nikiishiwa muda wa maongezi, napo nitapiga simu tu na si mengine
Safi sanaaa! Maana presha zingine sisi, wanaume tujitafutia wenyewe mkuuHaya ni mawazo yangu tu, sijui kwa wengine. Labda nikiishiwa muda wa maongezi, napo nitapiga simu tu na si mengine