Habarin., mi nina tatizo ambalo ni la muda mrefu, yaani nikioga tu maji mwili wote unawasha na nakosa raha kabisa, na nikiona kitu kichafu kichafu, au hata nguo chafu, au kitu chocht kinachofanana na uchafu najisikia vibaya sana., jamani hili ni tatizo gani? na tiba yake ni nini? kwa nyongeza mimi ni mwanaume
Itabidi sasa uanze kuoga maji yaliyochanganywa na piriton
kumbe ako na kashfa ebu ntonye ip hyo mkuu?Mkuu ile kashfa yako imeishia wapi?
kumbe ako na kashfa ebu ntonye ip hyo mkuu?
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Habarin., mi nina tatizo ambalo ni la muda mrefu, yaani nikioga tu maji mwili wote unawasha na nakosa raha kabisa, na nikiona kitu kichafu kichafu, au hata nguo chafu, au kitu chocht kinachofanana na uchafu najisikia vibaya sana., jamani hili ni tatizo gani? na tiba yake ni nini? kwa nyongeza mimi ni mwanaume
Hahaha unataka uoge maziwa au asali?