Nikioga maji nawashwa sana..

Nikioga maji nawashwa sana..

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
489
Reaction score
162
Habarin., mi nina tatizo ambalo ni la muda mrefu, yaani nikioga tu maji mwili wote unawasha na nakosa raha kabisa, na nikiona kitu kichafu kichafu, au hata nguo chafu, au kitu chocht kinachofanana na uchafu najisikia vibaya sana., jamani hili ni tatizo gani? na tiba yake ni nini? kwa nyongeza mimi ni mwanaume
 
Hahaha unataka uoge maziwa au asali?
 
Hilii tatizzo mi nilikuwa nalo zamani ingawa mpaka sasa sio kivile, nikioga maji ya kisima ya chumvi lazima niwashwe ila nikioga maji mengine(ya mvua) au idara ya maji siwashwi...so labda ni backteria tu na misismuko mingine ya mwili
 
Sijawahi sikia dawa ya hii kitu zaidi tumia maji ya moto kupunguza tatizo, pia kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu kuwa upo wakati hali hiyo itapungua kama sio kuacha
 
Mimi sio mtaalamu lakini nina ushauri tu. Jaribu kuoga maji ya moto, yawekee chumvi kidogo na utumie sabuni ambayo ni medicated.
 
kumbe ako na kashfa ebu ntonye ip hyo mkuu?

Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Umenipata?
 
Habarin., mi nina tatizo ambalo ni la muda mrefu, yaani nikioga tu maji mwili wote unawasha na nakosa raha kabisa, na nikiona kitu kichafu kichafu, au hata nguo chafu, au kitu chocht kinachofanana na uchafu najisikia vibaya sana., jamani hili ni tatizo gani? na tiba yake ni nini? kwa nyongeza mimi ni mwanaume

Maji gani unayooga na kuwashwa?

Maji taka au maji safi?
 
badili aina ya sabuni unayotumia wakati mwingine kemikali za kwenye sabuni zinasababisha tatizo hilo.
 
Back
Top Bottom