Raelish
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 489
- 162
Habarin., mi nina tatizo ambalo ni la muda mrefu, yaani nikioga tu maji mwili wote unawasha na nakosa raha kabisa, na nikiona kitu kichafu kichafu, au hata nguo chafu, au kitu chocht kinachofanana na uchafu najisikia vibaya sana., jamani hili ni tatizo gani? na tiba yake ni nini? kwa nyongeza mimi ni mwanaume