Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Najua mtasema nina roho mbaya, mara roho ya kichawi.
Hapana. Niko fiti, nina upendo wote wa Kimungu.
Kwanini nifurahi ninapoona kijana wa Kitanzania msomi kwa mjinga wakipata taabu katika maisha?
•Kwasababu vijana wa Kitanzania ni much know, hawashauriki. Unamweleza pita hapa pita kule utokee pale, atakuitikia baada ya muda anapita njia yake.
•Kijana wa Kitanzania ni mbinafsi, yeye akipata ugali hawazi kuhusu hatma ya Watoto wa wengine hatma yao iko wapi.
Wengi wanajiingiza kwenye siasa kwasababu ya njaa zao za muda mfupi. Hawawazi hatma ya taifa lao.
• Kijana wa Kitanzania ni mnafiki, anayesababisha ugumu wa maisha ndiye watamuunga mkono na kumsifia ili tu wapate tonge la siku moja au mbili.
Leo hii kijana wa Kitanzania ana likadi la chama mfukoni akitega viajira vya wiki moja vya sensa na uchaguzi.
Sasa mtu kama huyu utamuhurimiaje?
Ataseke tu, hakuna namna.
Akileta barua ya kazi nikiipokea Mimi nitamwoji kama ana likadi tu naichana pindi tu akigeuza kichogo.
Zamani nimewapiga sana kampani wapate ajira na mishe zingine ila sasa nimejua rangi zao halisi .
Wateseke tu hakuna namna, labda katika wingi wa mateso yao watapata akili