Najua mtasema nina roho mbaya, mara roho ya kichawi.
Hapana. Niko fiti, nina upendo wote wa Kimungu.
Kwanini nifurahi ninapoona kijana wa Kitanzania msomi kwa mjinga wakipata taabu katika maisha?
•Kwasababu vijana wa Kitanzania ni much know, hawashauriki. Unamweleza pita hapa pita kule utokee pale, atakuitikia baada ya muda anapita njia yake.
•Kijana wa Kitanzania ni mbinafsi, yeye akipata ugali hawazi kuhusu hatma ya Watoto wa wengine hatma yao iko wapi.
Wengi wanajiingiza kwenye siasa kwasababu ya njaa zao za muda mfupi. Hawawazi hatma ya taifa lao.
• Kijana wa Kitanzania ni mnafiki, anayesababisha ugumu wa maisha ndiye watamuunga mkono na kumsifia ili tu wapate tonge la siku moja au mbili.
Leo hii kijana wa Kitanzania ana likadi la chama mfukoni akitega viajira vya wiki moja vya sensa na uchaguzi.
Sasa mtu kama huyu utamuhurimiaje?
Ataseke tu, hakuna namna.
Akileta barua ya kazi nikiipokea Mimi nitamwoji kama ana likadi tu naichana pindi tu akigeuza kichogo.
Zamani nimewapiga sana kampani wapate ajira na mishe zingine ila sasa nimejua rangi zao halisi .
Wateseke tu hakuna namna, labda katika wingi wa mateso yao watapata akili
Habari! Mimi ni mwajiriwa wa serikali ofisi X kwa kada ya ulinzi. Nina miaka 7 sasa tangu niajiriwe. Nimejenga nyumba ya kawaida sana. Na nina second hand car, namaanisha namiliki gari ya kuungaunga. Ninapenda sana magari. Nimechoka kulinda. Yaani nimechoka sana maana ni kazi ambayo hata mke...

Pesa ninayolipwa sasa kwa ulinzi huu nakupita wewe wa TGTS E.
Na sidhani kama una check no.
Pia nina degree ya Human resources.
Kwahiyo Mimi siteseki.
Mlinzi kiongozi Mwandamizi.
Posho yangu tu inakuweka mjini.
Wewe itakua ndio yule Mzee kule Mkoa X Wilaya Y yaan Mzee Mchana kutwa umekaa karibu na mianzi, usiku umeingia kiza kinene Mzee upo kwenye mianzi eti unakata mianzi gizani kwani Mchana si ulikua hapo hapo Mzee punguza kuroga
Kama bado unawaza kuajiriwa we bado sana, anyway nilijua tu mtu mwenye roho ya kuwaombea wenzake vibaya hawezi kua kafanikiwa, fungua roho mkuu baraka zitakuja, cheers!!
Ila jamiiforums unaweza sema ukiwa unapost mada watu hawakuzingatii, ila siku ukijichanganya tu haoooo wapo wengi wanakukumbusha....
Anyway, kumbe mleta mada ni mlinzi

Hello!