Nikiona kijana wa Kitanzania anapata taabu nafurahi sana

Sasa kwan wote tutafanikiwa kwa njia moja?.
Mwngne biashara mwngne jicho la tatu😃
 
Korokoroni ni kirokoroni tu wacha mbwembwe JF kuna kitengo kabisa cha kufukuwa makaburi.
Yes. Kwani nimepinga.
Mimi nimekataa kufanyiwa mabadiliko ya kimuundo ya kiutumishi. I can be driver, HR officer etc.
Kama nalipwa vizuri, napata time ya kufanya mambo mengine kuna shida?
 
vipi siku hizi unaajiri vijana wa afghanistan au huajiri kabisa?
 
Yes. Kwani nimepinga.
Mimi nimekataa kufanyiwa mabadiliko ya kimuundo ya kiutumishi. I can be driver, HR officer etc.
Kama nalipwa vizuri, napata time ya kufanya mambo mengine kuna shida?
Security gani anayelipwa vizuri? Unafahamu malindo wanailipa kampuni kwa kichwa? Kampuni inalipwa laki sita kwa kichwa wewe utalipwa shingapi kama siyo laki mbili?
 
Security gani anayelipwa vizuri? Unafahamu malindo wanailipa kampuni kwa kichwa? Kampuni inalipwa laki sita kwa kichwa wewe utalipwa shingapi kama siyo laki mbili?
Sifanyi kazi kwenye kampuni ya Ulinzi.
Niko serikalini. Ni mlinzi mwenye sifa zangu.
Kuna mahali walinzi tunalipwa pesa ndefu ambayo Eng. wa Karatu DC haipati labda aibe kwenye makadirio ya miradi.
Nimewahi kuwa mlinzi wa mgodi Acacia walikuwa wananilipa 700k nikaingia TANAPA kama ranger mshahara ulikuwa mdogo compared na acacia nako nikaacha. Niliko sasa si haba .
 
Oyaaaaa aiseee watu wanajua kufukua makaburi 😂😂😂
 
Pesa ninayolipwa sasa kwa ulinzi huu nakupita wewe wa TGTS E.
Na sidhani kama una check no.
Pia nina degree ya Human resources.
Kwahiyo Mimi siteseki.
Mlinzi kiongozi Mwandamizi.
Posho yangu tu inakuweka mjini.
Mkuu wewe una degree ya Human Resources lakini hujui utofauti Kati ya Check na Cheque?

Napata mashaka sana.....
 
Hakuna mahali kwenye ajira za serikali mlinzi analipwa pesa ndefu kama unavyosema.

Labda ni vile tu mtu yoyote anaweza kuandika chochote kwenye fake id
 
Kwamba ulipo una pata pesa nyingi kushinda Eng. wa karatu DC !
Aya bana
 
Unaendelea kujidanganya mwenyewe, serikalini pia wana hire kampuni za security isipokuwa airport tu je unajuwa security wa airport wanatoka wapi?

Yani wewe unajiaminisha unaweza kudanganya watu wa JF? Jitafakari.
 
Hahahaha..umepiga kwenye mshono
 
Hahaa....kweli umeeleweka.

Kuna watu nawajua wana namba za mawaziri huu mwaka wa tano sasa bado wana matumaini. Na uniform wanapiga hawana aibu.
 
Unaendelea kujidanganya mwenyewe, serikalini pia wana hire kampuni za security isipokuwa airport tu je unajuwa security wa airport wanatoka wapi?

Yani wewe unajiaminisha unaweza kudanganya watu wa JF? Jitafakari.
Taasisi nyingi za umma sasa zinahire SUMA JKT ila bado kuna walinzi wasimamizi wa taasisi husika wanaoingia kwenye management na kusimamia baadhi ya mambo.
Nikutumie picha ya I'd?
 
Taasisi nyingi za umma sasa zinahire SUMA JKT ila bado kuna walinzi wasimamizi wa taasisi husika wanaoingia kwenye management na kusimamia baadhi ya mambo.
Nikutumie picha ya I'd?
Hayo mambo ya Suma JKT yalikuwa mambo ya Magufuli, zama za Magufuli zimekwisha, huu ni utawala wa Kizimkazi Chifu Hangaya.

Hujui mimi ni nani ndio maana nakushangaa sana unapretend na kufake maisha.
 
Taasisi nyingi za umma sasa zinahire SUMA JKT ila bado kuna walinzi wasimamizi wa taasisi husika wanaoingia kwenye management na kusimamia baadhi ya mambo.
Nikutumie picha ya I'd?
Mimi nakubaliana na wewe. Si ndio huwa wanaitwa maafisa usalama wa taasisi! Unakuta hadi anapewa gari kwa ajili ya patro kama taasisi ni kubwa mfano pale UDOM. Sema nini, wengine hao ni wezi wa mali za taasisi zinazobebeka.
 
Hayo mambo ya Suma JKT yalikuwa mambo ya Magufuli, zama za Magufuli zimekwisha, huu ni utawala wa Kizimkazi Chifu Hangaya.

Hujui mimi ni nani ndio maana nakushangaa sana unapretend na kufake maisha.
Yes sasa kazi kama usafi na ulinzi hufanywa kwa mfumo wa PPP. Kampuni yoyote unaweza kuihire. Nimetaja SUMA JKT kama kielelezo tu maana tenda nyingi za serikali za PPP wanachukua wao.
Huko airport ulikotaja mishahara ya security guard na security officer naijua vizuri. Classmates wangu kama 3 wako huko wawili security officers mmoja guard
 
Nilichokwambia stop pretending na kufake maisha.

Mimi siyo waziri wala mbunge, lakini mishahara ya mawaziri na wabunge naijuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…