Nikiona kijana wa Kitanzania anapata taabu nafurahi sana

Wewe haupo kama huyo kijana uliyemueleza hapo?
 
Wewe tukikusachi vizuri hukosi uchawi.
Mtoa mada yupo sahihi japo katumia lugha Kali sana ni kweli vijana wengi kwa sasa ni sawa na yule isaka aliyegawa utajiri wake kwa Mlo wa siku moja Leo hii tuna vijana wapumbavu wanaoamua kuchukua kadi za ccm kwaajiri ya kupewa vimikopo vya wajasiriamali
 
Ni Esau aliyeuza nafasi kwa ajili ya msosi sio Isaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…