MSHINO
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,069
- 713
Wakuu habari za mchana, mimi siyo mpenzi wa siasa wala mfuasi wa chama chochote, huko nyuma niliwahi kufuatilia siasa nikaanza kukipenda sera za vyama vya upinzani hasa kipindi kile cha kuibuliwa kwa ufisadi wa RICHMOND, ECROW ACCOUNT, MELEMETA, TEGETA ECROW NA NK.
Baada ya aliekuwa waziri mkuu kuhamia huko niliwachukia wapinzani nikaamua kuacha kufuatilia siasa.
Mara akaja Marehemu Rais JPM nikaanza kufuatilia tena siasa, wakati mwingine nilikaa kwenye TV kuangalia ziara na mikutano yake.
Lakini baada ya JPM R.I.P sitaki tena kusikia CCM wala Upinzani, wakati mwingine nikiona mikuatano ya vyama hivi nazim hata TV nazima.
NAOMBENI USHAURI NASUMBULIWA NA UGONJWA GANI?