Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
asante kwa ushauri.....tumekusikia
preta avatar yako leo dahh..utamfanya mpenda makwapa aseme NIKIMUONA MWANAMKE KAVAA CHUP MIGUUN NAPATA PICHA...
Mh kazi ipo.
Kama kidogo....chupi tusianike zikaonekana makwapa pia jamani jashi ndi tatizo kabisaaaaaaaaaaaaaa
hawa wanaume sijui wanatutaka nini .......hebu tuundeni tume ya uchunguzi.........khaaa....kila siku siye tuu.....jamani
ukiona hivyo ujue tunawapenda sana na kuwafikiria mda wote
hawa wanaume sijui wanatutaka nini .......hebu tuundeni tume ya uchunguzi.........khaaa....kila siku siye tuu.....jamani
ukiona hivyo tunawapenda nakuwajali,tume haisadii ukweli ndo huohawa wanaume sijui wanatutaka nini .......hebu tuundeni tume ya uchunguzi.........khaaa....kila siku siye tuu.....jamani
tuvumilieni tuif so guuuuuuuuuuuuuud then
Preta huo ni ukweli uliowazi kabisa wanaume wakiingia baa bia ya kwanza na ya pili wanaongea biashara na kazi pesa n.k zilizobaki wanaongelea wanawake na chupi ****** matiti na kila kitu cha mwanamke including TIGO
if so guuuuuuuuuuuuuud then
he he he....JF hapaishi vituko....Happy New Year
hivi unajua mnapower sana kwetu?if so guuuuuuuuuuuuuud then
na hapo ndio huwa wanaharibu kila kitu
mi ntakuwa mweka hazina wa TUME.