Nikiona kwapa la mwanamke navuta taswira fulani..

Nikiona kwapa la mwanamke navuta taswira fulani..

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
2,696
Reaction score
740
Mie nikiona kwapa la mwanamke huwa napata taswira ya kiungo chake cha uzazi. Yaani huwa napata hisia na kuumba picha yake akiwa uchi.

Nikiona kale kajasho kanatiririka, mie hoi...Binafsi nashauri kina mama waheshimu makwapa yao maana, nafikiri kuna wanaume wengine wenye hisia kama zangu.
 
asante kwa ushauri.....tumekusikia
 
hahaaaa haaaaa
kwapa inafananaje na ile kitu jaman?
so ukiona jasho wafananisha na nin?
mmh aya
from today stop katamikono.
 
preta avatar yako leo dahh..utamfanya mpenda makwapa aseme NIKIMUONA MWANAMKE KAVAA CHUP MIGUUN NAPATA PICHA...

he he he....JF hapaishi vituko....Happy New Year
 
Kama kidogo....chupi tusianike zikaonekana makwapa pia jamani jashi ndi tatizo kabisaaaaaaaaaaaaaa

hawa wanaume sijui wanatutaka nini .......hebu tuundeni tume ya uchunguzi.........khaaa....kila siku siye tuu.....jamani
 
hawa wanaume sijui wanatutaka nini .......hebu tuundeni tume ya uchunguzi.........khaaa....kila siku siye tuu.....jamani

Preta huo ni ukweli uliowazi kabisa wanaume wakiingia baa bia ya kwanza na ya pili wanaongea biashara na kazi pesa n.k zilizobaki wanaongelea wanawake na chupi ****** matiti na kila kitu cha mwanamke including TIGO
 
ukiona hivyo ujue tunawapenda sana na kuwafikiria mda wote
 
hawa wanaume sijui wanatutaka nini .......hebu tuundeni tume ya uchunguzi.........khaaa....kila siku siye tuu.....jamani
ukiona hivyo tunawapenda nakuwajali,tume haisadii ukweli ndo huo
 
Preta huo ni ukweli uliowazi kabisa wanaume wakiingia baa bia ya kwanza na ya pili wanaongea biashara na kazi pesa n.k zilizobaki wanaongelea wanawake na chupi ****** matiti na kila kitu cha mwanamke including TIGO

na hapo ndio huwa wanaharibu kila kitu
 
he he he....JF hapaishi vituko....Happy New Year

Preta, vibaya hivyo kwa watoto wa wenzio. Hiyo avatar ndiyo inaua kabisa, afadhali uonyeshe kwapa. I think it is pschological phenomena. Ninaganda kabisa nikiona avatar yako.
 
mi ntakuwa mweka hazina wa TUME.

hazina haitazingatiwa sana.......utendaji wa vitendo ndio utakuwa muhimu.....
oooh....yah hazina......kwa ajili ya malipo ya GYM kwa wanachama.....
 
Back
Top Bottom