Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Kiukweli midude ya standard gauge inapita mtaani kwetu yani nikiona ile migari imeandikwa yapi merkez nafuraaaaahiii acheni tu Magufuli Ni chuma Cha pua vijana mnaoishi reli inapopita acheni kulala changamkieni fursa Magufuli haleti wali nyumbani anakuletea fursa wale ambao reli haijawapitia jiandaeni kuipokea fursa hii!!
Yapi merkez.......!!!!!!
Yapi merkez.......!!!!!!