Tetesi: Nikiona migari imeandikwa yapi merkez nafurahiii

Tetesi: Nikiona migari imeandikwa yapi merkez nafurahiii

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kiukweli midude ya standard gauge inapita mtaani kwetu yani nikiona ile migari imeandikwa yapi merkez nafuraaaaahiii acheni tu Magufuli Ni chuma Cha pua vijana mnaoishi reli inapopita acheni kulala changamkieni fursa Magufuli haleti wali nyumbani anakuletea fursa wale ambao reli haijawapitia jiandaeni kuipokea fursa hii!!


Yapi merkez.......!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Usiishie tu kufurahia peke yake pia unatakiwa utembee kifua mbele.
 
Tuambie ajira zinazopatikana hapo fukara tuje kupambana kuomba kazi
 
TETESI.


Inamaana Ulichokiandika Huna Uhakika Nacho.
 
Back
Top Bottom