Nikiona paja la mke naona kawaida ila la jirani moyo unaruka, kwanini?

Nikiona paja la mke naona kawaida ila la jirani moyo unaruka, kwanini?

Mkuu jifunze ya kuzingatia ili uachane na yasiyo kuhusu
 
hiyo ni kawaida kabisa kwa 'vidume' vingi tuu na ndiyo maana tunakuwa na michepuko mingi
 
Mi mwenyewe nashangaa hii hali mkuu,inanitokea lakini hata sipendi....Yani hata kwangu pia ipo hivyo paja la mke wangu halinistui Ila la jirani sasa ambaye ndo mke wako linanipaga pressure........
Kama ni hivyo mbona madaktari tungekuwa vichaa, acheni tabia za watu wa mikoani
 
Back
Top Bottom