Asante sis..
Utanizoea tuu hamna namna..[emoji16][emoji16][emoji16].
Mwishoni wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
KaribuNgoja nikufuate niwe mikono salama
Sio siri nimefurahi sana.I hope you enjoy as well, I hope you dance.
Ubarikiwe pia dark angel .Sio siri nimefurahi sana.
Barikiwa
Ha hahahahaaa mkuu pole.Huwa kuna kona zina watukutu mno, kuna siku buguruni jamaa wawili walinivamia jioni mbaya zaidi ilikuwa ni mara ya pili nakatiza mtaa huo walitaka simu na niliwapatia mpaka leo inaniuma nikiifikiria, nilikuwa na uwezo wa kuwanyuka lakini sikufanya hivo, natamani itokee tena niwavunje vunje.
wewe si ndio unaishi jang'ombe? sasa mbona haya ni kawaida mtaani kwenuMoshi sijawahi kufika. Mimi naishi Zanzibar
Wewe naona umechoka kula matembele kwenu; kuna dogo langu liko jeshini tena komandoo lakini kuna siku hiyo hali ilimtokea, anakwambia alitimuka mbio hajawahi hata kimbia huko jeshini. sasa wewe jidanyanye watakutoa utumboHuwa kuna kona zina watukutu mno, kuna siku buguruni jamaa wawili walinivamia jioni mbaya zaidi ilikuwa ni mara ya pili nakatiza mtaa huo walitaka simu na niliwapatia mpaka leo inaniuma nikiifikiria, nilikuwa na uwezo wa kuwanyuka lakini sikufanya hivo, natamani itokee tena niwavunje vunje.
Hahaha pole mkuu njoo pm nikushauri jamboNilimbock, ametumia namba nyingine.
Nimemdabulia matusi haswa