Nikiondoka sirudi tena Dar

Nikiondoka sirudi tena Dar

Asante sis..
Utanizoea tuu hamna namna..[emoji16][emoji16][emoji16].
Mwishoni wapi[emoji23][emoji23][emoji23]

'nyie Kaka jambazi km mpo humu siwaogopi na NIMEWABLOCK! jaman nacheka had nashangaza watu! na ninavyopenda kucheka khaa!hapa machozi jaman khaa!...dah we dogo hatari sana!ushafika kwenu au bado!
 
Ha ha ha kumbe hapo sis..
 
Huwa kuna kona zina watukutu mno, kuna siku buguruni jamaa wawili walinivamia jioni mbaya zaidi ilikuwa ni mara ya pili nakatiza mtaa huo walitaka simu na niliwapatia mpaka leo inaniuma nikiifikiria, nilikuwa na uwezo wa kuwanyuka lakini sikufanya hivo, natamani itokee tena niwavunje vunje.
 
Ha hahahahaaa mkuu pole.
Haukulia?[emoji28][emoji28]
 
Huwa kuna kona zina watukutu mno, kuna siku buguruni jamaa wawili walinivamia jioni mbaya zaidi ilikuwa ni mara ya pili nakatiza mtaa huo walitaka simu na niliwapatia mpaka leo inaniuma nikiifikiria, nilikuwa na uwezo wa kuwanyuka lakini sikufanya hivo, natamani itokee tena niwavunje vunje.
Wewe naona umechoka kula matembele kwenu; kuna dogo langu liko jeshini tena komandoo lakini kuna siku hiyo hali ilimtokea, anakwambia alitimuka mbio hajawahi hata kimbia huko jeshini. sasa wewe jidanyanye watakutoa utumbo
 
Back
Top Bottom