khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,141
- 1,057
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaah....Okay
",something"[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji176][emoji176][emoji176][emoji176][emoji175][emoji175][emoji175][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji131][emoji132][emoji176][emoji177][emoji178][emoji175][emoji180][emoji307][emoji738][emoji179][emoji173][emoji170][emoji172][emoji169][emoji307][emoji173][emoji182]Kwa hiyo kweli umeshindwa kujiongeza hata kunirushia kaEmoj kama kopa nami nijiskie poa?
Haya tu wewe
I feel like preaching love.... jiandae vizuri tuzae katoto kazuri[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji176][emoji176][emoji176][emoji176][emoji175][emoji175][emoji175][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji131][emoji132][emoji176][emoji177][emoji178][emoji175][emoji180][emoji307][emoji738][emoji179][emoji173][emoji170][emoji172][emoji169][emoji307][emoji173][emoji182]
Lipo kwapani hili siunaona linavyogawa makopa kama mate ya koboko...Nipe muhtasari kwanza kabla sijaelekea mlimani.
File unalo?
Kwa hiyo ngozi yako jumlisha yangu lazima tutoe hiyo productMtoto mzuri sana [emoji8][emoji8][emoji8]
Hii inaenda kuwa kweli stop wishing.. kikubwa let's start kissing mengine yatafuataI wish. ....
Kikojozi mkubwa wee[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndugu zangu kilichonikuta Leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!!!
Nilikuja Dar ijumaa.(siishi dar huwa nakuja matembezi)
Kumbe mji una wenyewe!!!
Leo si nikatoka nataka kwenda kutembea tembea,[emoji16]
Nikaambiwa nichukue pikipiki nikawa bahili[emoji19][emoji19].
Nikapita mitaani huko. Nikaingia kibanda cha Tigo pesa nikatoa hela.
Ile naondoka ghafla kuna watu wa 3 wananifuata nyuma, halafu kuna uchochoro ,[emoji52]
Moyo ukaanza kudunda, nikiongeza mwendo na hao wanaongeza.
Nikaona wapita njia nikasema bora nimepona[emoji119] .nikaanza kutembea kawaida .
Wale watu walinikuta wakanizuia na wale wapita njia wakawa wameshapita.[emoji17][emoji17]
Kuwaangalia wana kisu na sijui ni misumari ile.!!!
Nikasikia TULIA halafu na tusi juu. Nikasimama, wakaniambia kwa usalama nitoe kila kitu niwape niondoke.[emoji15][emoji15][emoji15](ni saa ,10 jioni) nikawaambia nawaitia mwizi[emoji28].
Wakaniambia nisijisumbue ule mtaa ni wao na wao ni maraisi hamna wa kuwatishia daah!!!
Mara watu wanapita nikaanza kusema "nyie niachieni kwa nini mnaniibia" nikijua wapita njia watanisaidia . khaa wanashangaa wanapita tuu.
Nikifikiria kasimu werevaa kangu hakana hata miezi mi 2.
Nikawa mwekundu ghafla ndani ya dakika 2 nimelia machozi hadi make up imeisha. Nikaanza kuomba msamaha "kaka zangu nisameheni mama yangu anaumwa yupo hospital ndiyo nimekuja kumuuguza"[emoji53][emoji53]
Akaja mmoja nahisi ni mwenzao akawaambia mwacheni huyo akaniambia nifuatee, nikasema Mungu wangu ndiyo nimfuate wapi tena hapo ndipo nilipojikojolea (sio utani)
Hiyo ikawa pona yangu akaniambia nimpe namba zangu atanitafuta na niwe makini.
Nikaondoka nikarudi nyumbani ( nilipofikia) nikaingia ndani nikafunga milango na madirisha yote na nimeshusha mapazia ,
Nikalala nikajifunika hadi usoni nahisi watakuja.
Nilijawa hofu sana.
Khaaaaa pakuche tuu niondoke [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17].
MTU UNAVAMIWA NA VISU WATU WANAANGALIA TUU.
Kweli nilizaliwa mwenyew nitakufa mwenyewe.
Nyie KAKA JAMBAZI kama mpo huku nawaambia SIWAOGOPI[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]. Na nimewablock[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Uliamua nini mpenzi. Au kummegea uliyemfuata nyuma...Niliamua tuu. Ila huwa nakomaa.
Siibiwi kizembe bora nife
Ni Dar ipi hiyo yenye vyoo vya uwani..Ha ha ha[emoji53][emoji53][emoji53]( nacheka kwa kujilazimisha)
Usinicheke bana yaani hapa naogopa hata kwenda uwani