St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unauwa[emoji1] [emoji1]Unakujaje mjini bila kibali..! Afu nyie huwa tunawatambua kwa mwendo tuuh..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unauwa[emoji1] [emoji1]Unakujaje mjini bila kibali..! Afu nyie huwa tunawatambua kwa mwendo tuuh..!
Kweli jitu la mkoa unasoma mwendo unalijua tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unauwa[emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekumiss we mdada..umepotelea wapi?Hahahaha watu humuuu hatari.
Nimechekagee.
Itabidi avae ninja
Huyu baby wake Asprin huwa anaringirishiaNdiyo alikuwa baby wako huyoo?? [emoji16][emoji16]
Mtaa aujulie wapi mtu mwenyewe wa kuja..!
Unakujaje mjini bila kibali..! Afu nyie huwa tunawatambua kwa mwendo tuuh..!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unauwa[emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitu la mkoa utalijua tu swaga tu kidogo unaliacha ona sasa MIPOVU KAMA LIMEPATA BREAKFAST YA OMO[emoji123][emoji123]Hebu ficha ujinga wako f.ala wewe .
Mjini kwenyewe unapojishaua napo unaishi kwa shemeji yako unalala sebuleni kusikiliza Dada yako anavyobanduliwa.
ETI "JITU" Tah.ira mkubwa wewe.
Kibaka mkubwa weweJitu la mkoa utalijua tu swaga tu kidogo unaliacha ona sasa MIPOVU KAMA LIMEPATA BREAKFAST YA OMO[emoji123][emoji123]
Tuliza mshono nyang'au wewe..! mjini swaga zake kama haufiti kaa kimya.
Hahahah...[emoji23][emoji23][emoji23] FA aliwambia msije mjini hamkumwelewa, nauondoke nitakulia tyming tena nikuchojoe time hii ata gaguro nachukua hakuna cha huruma ukicheza ata PAPUCHI tunabeba [emoji125][emoji125][emoji125]Kibaka mkubwa wewe
Fanya kazi kama huwezi rudi kijijini kwenu kalime[emoji23][emoji23]
Unajisifu unaishi dar kwa kazi za kupora simu na Mali za watu?
Kaka jambazi tafuta kazi mb.wa wewe
Sawa KAKA JAMBAZIHahahah...[emoji23][emoji23][emoji23] FA aliwambia msije mjini hamkumwelewa, nauondoke nitakulia tyming tena nikuchojoe time hii ata gaguro nachukua hakuna cha huruma ukicheza ata PAPUCHI tunabeba [emoji125][emoji125][emoji125]
Next tunakuiba na wewe mjini shule kijijini nguvu..![emoji23][emoji23][emoji23]Sawa KAKA JAMBAZI
Hivi kumbe tukiongelea mjini tunaongelea Dar eti? Na tukiongelea kijijini tunaongelea mikoa mingine iliyobaki hadi visiwani.Next tunakuiba na wewe mjini shule kijijini nguvu..![emoji23][emoji23][emoji23]
Asante kwa kuomba niwe mwenyeji wako..!Hivi kumbe tukiongelea mjini tunaongelea Dar eti? Na tukiongelea kijijini tunaongelea mikoa mingine iliyobaki hadi visiwani.
Kaka jambazi upo vizuri.
Nikija nitakutafuta uniibe na Mimi uje unipokee JULIUS NYERERE kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha hadi nimebidi nichekee.Asante kwa kuomba niwe mwenyeji wako..!
Karibuni sana, nitakuonesha safe areas to cross na njia ya kuepuka kutambulika wewe ni wakuja[emoji23][emoji23][emoji23]