Nikiondoka sirudi tena Dar

Nikiondoka sirudi tena Dar

Mtaa aujulie wapi mtu mwenyewe wa kuja..!
6024fb948bda8451e44520fc4164ea04.jpg

Unakujaje mjini bila kibali..! Afu nyie huwa tunawatambua kwa mwendo tuuh..!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unauwa[emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli jitu la mkoa unasoma mwendo unalijua tu.
Hebu ficha ujinga wako f.ala wewe .
Mjini kwenyewe unapojishaua napo unaishi kwa shemeji yako unalala sebuleni kusikiliza Dada yako anavyobanduliwa.
ETI "JITU" Tah.ira mkubwa wewe.
 
Jitu la mkoa utalijua tu swaga tu kidogo unaliacha ona sasa MIPOVU KAMA LIMEPATA BREAKFAST YA OMO[emoji123][emoji123]
Tuliza mshono nyang'au wewe..! mjini swaga zake kama haufiti kaa kimya.
 
Kibaka mkubwa wewe
Fanya kazi kama huwezi rudi kijijini kwenu kalime[emoji23][emoji23]
Unajisifu unaishi dar kwa kazi za kupora simu na Mali za watu?
Kaka jambazi tafuta kazi mb.wa wewe
 
Hahahah...[emoji23][emoji23][emoji23] FA aliwambia msije mjini hamkumwelewa, nauondoke nitakulia tyming tena nikuchojoe time hii ata gaguro nachukua hakuna cha huruma ukicheza ata PAPUCHI tunabeba [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Sawa KAKA JAMBAZI
 
Next tunakuiba na wewe mjini shule kijijini nguvu..![emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kumbe tukiongelea mjini tunaongelea Dar eti? Na tukiongelea kijijini tunaongelea mikoa mingine iliyobaki hadi visiwani.
Kaka jambazi upo vizuri.
Nikija nitakutafuta uniibe na Mimi uje unipokee JULIUS NYERERE kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo alivyokuambia umfuate mkaenda kumalizana humo humo uchochoroni au? So papuchi imeokoa hela na simu. Pole mkuu ndo jiji hili lina wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kumbe tukiongelea mjini tunaongelea Dar eti? Na tukiongelea kijijini tunaongelea mikoa mingine iliyobaki hadi visiwani.
Kaka jambazi upo vizuri.
Nikija nitakutafuta uniibe na Mimi uje unipokee JULIUS NYERERE kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante kwa kuomba niwe mwenyeji wako..!

Karibuni sana, nitakuonesha safe areas to cross na njia ya kuepuka kutambulika wewe ni wakuja[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha hadi nimebidi nichekee.
Sawa mkuu asante kwa kukubali kuwa mwenyeji wangu[emoji16][emoji16].
"Mchawi mpe mwanao akulelee"
 
Back
Top Bottom