Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maliza shule kwanza dogoNdio me mgeniii
Ka-join jana hivyo ni sahihi ni mgeni
Binadamu hua hatosheki,anaweza kuwaza "Nikimaliza shule nitafurahi sana" na akimaliza shule huona ni kawaida tu, unaweza kuwaza "Nikipata kazi,nikinunua gari,nikijenga Nyumba,nikioa Mke,nikipata mtoto,nitafurahi sana" lakini ukishapata vyote hivyo bado utajiona kuna vingine bado unavihitajia na hutafurahi kivile,Maisha ni safari na sio destination.Binadamu hawanaga wema bora niringe kivyangu na mungu wang.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Karibu jamii forums kijana..kama wari nazi
Tuliowakimbia Facebook ndo Hawa washavamia na huku